Msaada tatizo la kupata mimba

Pole Kaka. Kama walivyoandika wengine bado hajabainisha kuwa ni tatizo. Jaribu kusoma mzunguko wa mkeo ili mfanye timining ya yai lake kupevuka na mtapata mototo. Endeleeni kufurahia mapenzi na Mshirikisheni Mwenyezi Mungu Pia. Kuna watu wamesha subiri kama zaidi ya miaka 5. Ukiweza waweza kumwona daktari kama walivyo shauri wengine.
 

ahsante kwa ushauri kaka
 
mwezi huu nimeanza kusex kuanzia cku ya 11hadi ya 17 nasubiria matokeo,naamini Mungu atatusaidia
 
habari wanajukwaa,ninatatizo,ni mwezi wa nne sasa najaribu kumpa mke wangu mimba bila mafanikio,cku zake za mwez ni 28 ila kuna wakati zinabadilika na kuwa 32,cjui nifanyeje

Tatizo liko kwako mbengu zako hazina virutubisho, tumia hivi vitu kwa muda wa miezi 2 bila kushiriki tendo la ndoa. karanga, mboga za majani, kahawa, na asali ili mbegu zipate virutubisho.
 
Tatizo liko kwako mbengu zako hazina virutubisho, tumia hivi vitu kwa muda wa miezi 2 bila kushiriki tendo la ndoa. karanga, mboga za majani, kahawa, na asali ili mbegu zipate virutubisho.

poa mkuu
 
wadau nimerudi,BAADA YA KUTOA TATIZO LANGU MLINISHAURI tukapime,baada ya kwenda nimeambiwa kwenye semen hawaoni mbegu,wakaniandikia doz ya ku2mia mwez mmoja kwaajili ya kuboost sperm production,WADAU JE NAWEZA KUPONA?NAOMBENI USHAURI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…