Pole Kaka. Kama walivyoandika wengine bado hajabainisha kuwa ni tatizo. Jaribu kusoma mzunguko wa mkeo ili mfanye timining ya yai lake kupevuka na mtapata mototo. Endeleeni kufurahia mapenzi na Mshirikisheni Mwenyezi Mungu Pia. Kuna watu wamesha subiri kama zaidi ya miaka 5. Ukiweza waweza kumwona daktari kama walivyo shauri wengine.