Kuna mshikaji mmoja besti yangu mmoja naonaga anabonge la tege yaani zile zakuingia ndani nilimuuliza akaniambia hizo tege zimemuanza miaka ya karibuni
madaktari nisaidieni husabbabishwa na nini, na jinsi ya kuondoa hzo tege
Huyo jamaa yako ana mapungufu ya VITAMIN D!
Osteomalacia ni kulainika kwa mifupa kunakosababishwa osteoblasts kutumia madini yaliyopo kwenye mfupa na halii husababishwa na mapungufu ya madini ya calcium na phosphorus au kwasababu ya kuongezeka kwa kutumika(resorption) ya calcium kutoka kwenye mifupa kutokana na hyperparathyroidism(ambayo husababisha hypercalcemia). Hali hii husababisha na
Upungufu calcium absorption kutoka kwenye utumbo (intestine) kwasababu ya kutopata madini ya calcium ya kutosha kutoka kwenye chakula au resistens to vitamin D
Inaweza kusababishwa na mapungufu ya phosphate kutokana na matatizo ya mafigo
​Kama tatizo ni OSTEOMALACIA atapatiwa Vitamin D replacement therapy! ​Namshauri aende hospitali ili apate uhakika ana tatizo gani kwasababu kuna uwezekano pia akawa na OSTEOPOROSIS.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.