Msaada: Tatizo la kuteguka Bega.

Msaada: Tatizo la kuteguka Bega.

Meja mstaafu

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2017
Posts
531
Reaction score
1,121
Habarini ndugu zangu, mnamo mwaka 2009 nikiwa nasoma sekondari, shuleni kulitokea vurugu hali iliyopelekea kuteguka bega. Nilipata tiba hospitali ya morogoro nikawa vizuri, lakini baada ya wiki 2 niliteguka tena nikiwa nimelala kitandani, nikaenda hadi muhimbili nikatibiwa lakini baada ya miezi miwili nikateguka tena. Ki ufupi hili tatizo linajirudia Mara nyingi na nishatumia hadi dawa za kienyeji, lakini bado linajirudia. Kwa mwenye uzoefu na tatizo kama hili msaada tafadhari Ahsanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jaribu kumwna mama mmoja anaitwa Binti Mkasi yupi pande za Chanika Dar es salaam.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom