Meja mstaafu
JF-Expert Member
- Jul 17, 2017
- 531
- 1,121
Habarini ndugu zangu, mnamo mwaka 2009 nikiwa nasoma sekondari, shuleni kulitokea vurugu hali iliyopelekea kuteguka bega. Nilipata tiba hospitali ya morogoro nikawa vizuri, lakini baada ya wiki 2 niliteguka tena nikiwa nimelala kitandani, nikaenda hadi muhimbili nikatibiwa lakini baada ya miezi miwili nikateguka tena. Ki ufupi hili tatizo linajirudia Mara nyingi na nishatumia hadi dawa za kienyeji, lakini bado linajirudia. Kwa mwenye uzoefu na tatizo kama hili msaada tafadhari Ahsanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app