Asante kwa ushaur aiseeAtakuwa ana ukungu kwenye macho...
Nyakati za mchana anaona kwa sababu kuna mwanga wa kutosha, jioni kwenye mwanga hafifu macho hupoteza uwezo wa kuona kwa sababu ya either utandu au ukungu kwenye macho...
Aende hospitali wakamchune macho... Au kuvalishwa lens...
Cc: mahondaw
Nimekupata TheMason ngoja nimuanzishie hiiNafikiri Hilo tatizo lilishawahi kunitokea Back in 2011 yaani usiku Huoni kabisa unaeza Paramia adi Mti ila sasa cha kufanya embu asile maharage na mwandalie Mboga za Majani za Kutosha na anywe maji ya Kutosha!
Nimekupata TheMason ngoja nimuanzishie hiiNafikiri Hilo tatizo lilishawahi kunitokea Back in 2011 yaani usiku Huoni kabisa unaeza Paramia adi Mti ila sasa cha kufanya embu asile maharage na mwandalie Mboga za Majani za Kutosha na anywe maji ya Kutosha!
Asante Prince ntajitahidiHuo unaitwa Night blindness unatokana na upungufu wa virutubisho vya protein na vitamini A. Mpe vyakula vya kuongeza protein na vitamins huo ugonjwa utapotea
chuji WW
Thnx sanaAle mboga za majani na kamnunulie vile vidonge vya vitamin A.
Tuliosoma boarding tunalifahamu hilo tatizo
kapime kipimo cha mzio ndo utajua dawa halisi vinginevyo utaibiwa tuna macho kutoa kuwa mekundu na kutoa machozi nini dawa yake?
Thnx nilimpeleka wakadai aanze doz kabla ya miwani lakin doz haijasaidiaNiliwahi kupata tatzo hilo mwaka 2004. Nikiwa boarding school. Nilienda hospital walinipa miwani hata hivyo nilivaa kidogo tu, tatzo likaisha nikatupa miwani kulee
Asante nimemuanzishia leo then ntaleta feedbackMpe karoti kwa wingi
juisi ya spinach japo kwa wiki mara 2
Ale mchanganyiko wa matunda kila aiku kwa siku 7
Anywe maji glass moja mara tu akiamka kabla haja swaki kinywa.
FANYA HIVYO KISHA LETA MREJESHO
Nimebakiza Muhimbili na Regency tu + ugumu wa maisha ndo nadata ndani ana vidonge mpaka namuonea huruma huyu dogo