Wadau kwanza poleni na majukumu yote ya kupigania maisha, naombeni kufunguliwa macho juu ya tatizo tajwa kunakijana (mtoto wa sister ni darasa la 7 sasahivi) nimemkuta na hii dhahama na kwa mujibu wake ni tatizo la kudumu (toka utotoni) yaani ikifika jioni ya saa 12 haoni kabsaa ila asubuhi na mchana safi kinachoniuma zaidi darasani ni kichwa tegemezi baba na mamayake ni marehemu hvyo kwa anaejua plz msaada wa mawazo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app