Msaada tatizo la kuwa na mabaka kwenye ulimi

Msaada tatizo la kuwa na mabaka kwenye ulimi

IamMrLiverpool

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2014
Posts
4,362
Reaction score
6,274
Guys naombeni msaada.

Nina tatizo la kutoka mabaka kwenye ulimi ni kama miaka kumi sasa nitumie dawa gani tafadhali!

Ahsanteni!
 
Mimi pia nina hilo tatizo toka niko primary hadi sasa niko university,nimetumia dawa vinapotea then vinarud,jarib kutumia hydrogen peroxide mouth wash or Listerine anti-bacteria mouth wash zinaweza kukusaidia kuna jamaa alikuwa navyo alipona,kama ikiendelea inaweza kuwa sio infections bali ni leukoplakia ............
 
Nenda upesi kwa madfaktari wakusaidie...
Mtu yoyote anapoona badiliko lolote lisilokuwa la kawaida kwenye mwili wake amuone daktari. Unajua sisi Waafrika wengi hatuna tabia za kupima afya zetu mara kwa mara kama wenzetu wazungu. Ndiyo maana tunakufa ovyo kama magonjwa ambayo kama yangegundulika mapema vifo visingetokea. Ukiona Mtu kafa halafu ndugu/jamaa zake wanasema amekufa ghafla tu lakini alikuwa haumwi ujue siyo kweli bali alikuwa hachunguzi afya yake mara kwa mara.
 
Back
Top Bottom