Msaada: Tatizo la kwikwi

B'REAL

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Posts
4,443
Reaction score
3,002
habari jioni wakuu,poleni na majukumu ninashida moja ndugu zangu ya kwikwi, kila nikinywa chai yenye tangawizi, au viungo nimekuwa napata hali ya kwikwi kila nikipiga funda,naweza kunywa kikombe kimoja ila nikapiga kwiki mwazo hadi mwisho wa chai, pia nikila pilipili nakuwa napata kwikwi sana sijajua tatizo ni nini na hili limekua likinitokea mara kwa mara.msaada please
 
hiyo kwikwi yako sijui inakuwaje inatokea ukitumia hivyo vitu ila sababu kuu inayoleta kwikwi ni kuvurugika kwa supply ya hewa kwenye Bandama,

kuMaintain hiyo hali wanashuri kutulia, kuvuta hewa vizuri na taratibu ili ifike huko kwenye bandama.

hali kama bado inaendelea nenda hospitali chief.
 
asante mr miller hali hi huwa inanitokea nikitumia hivyo vitu tu
 
Mimi hiyo hali ilinisumbua sana mkuu kwa takriban miezi minne nilikuwa napatwa na kwikwi mfululizo kwa masaa manne mfululizo hasa nyakati za usiku na alfajiri.
Nilipoenda hospital walinipa Dawa za vidonda vya tumbo kuwa ni dalili za awali.sina hamu na hiyo kitu na sijui Dawa yake ila niliambiwa hadi kunywa mkojo wa mtoto wa kiume nikasema poa!
Nachoshukru Mungu nilipona.
 
Waone Hospital
Hali Ya Kwikwi Kwa Watoto Tunasema Wanapanua Mapafu Ila Hiyo Yako Chukua Hatua Haraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…