B'REAL
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 4,443
- 3,002
habari jioni wakuu,poleni na majukumu ninashida moja ndugu zangu ya kwikwi, kila nikinywa chai yenye tangawizi, au viungo nimekuwa napata hali ya kwikwi kila nikipiga funda,naweza kunywa kikombe kimoja ila nikapiga kwiki mwazo hadi mwisho wa chai, pia nikila pilipili nakuwa napata kwikwi sana sijajua tatizo ni nini na hili limekua likinitokea mara kwa mara.msaada please