[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD]Pole kwa hayo matatizo ya Macho. Jaribu dawa yangu hii
Pakaa mafuta ya Habbat-Sawdaa (Nigella seed oil) sehemu za panda kandokando ya macho na kope, fanya hivyo kabla ya kulala pamoja na kunywa matone kadhaa ya mafuta hayo ya Habbat-Sawdaa (Nigella seed oil) katika kinywaji chochote cha moto au katika juisi ya karoti Ishallah utapona.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Pamoja na kukupa pole na kutumia habbat swauda nakushauri kapime macho yako sijui uko wapi kama ni kule DSM CCBRT waweza kugundua kama ni temporary or parmanent disorder na kama ulivyosema macho ni ishu nyeti ....utakuo husomi pole za feis buku oohooo
Kaulizie Maduka ya Dawa za Kiarabu kama wewe upo Dar, kaulizie hayo Maduka kariakoo kwenye maduka ya wauza Madawa wakipemba au waaarabu watakupa hayo mafuta ya Habbat-sawdaa.yanapatikana wapi hayo mafuta?