Mimi nna shida ya kuanza tarehe niliyomaliza mwezi uliopita ni tatizo?
mmm hiyo nayo mpya kidogo. kwa hiyo kila mwezi inasogea mbele...!!
siwezi kusema moja kwa moja kuwa ni tatizo ila ukionana na dokta baada ya kukuhoji anaweza kutoa diagnosis...
but kwa ushauri tu: ulaji wa nyanya na vitunguu maji vibichi(kachumbari) husaidia kuregulate MP