Msaada tatizo la MP

Msaada tatizo la MP

ndaigirl

Member
Joined
Aug 17, 2014
Posts
37
Reaction score
3
habari zenu ,wanajamvi naomba mnisaidie sababu za hedhi kuwa ndani ya siku 1 afu inakata cjatumia contraceptive yoyote
 
si ajabu sana... we subiri tena mzunguko unaofuata uone itakuwaje...ikiwa hivyohivyo hapo nenda hospital kwanza( hospital kubwa sio zahanati)....
 
Mimi nna shida ya kuanza tarehe niliyomaliza mwezi uliopita ni tatizo?
 
Mimi nna shida ya kuanza tarehe niliyomaliza mwezi uliopita ni tatizo?

mmm hiyo nayo mpya kidogo. kwa hiyo kila mwezi inasogea mbele...!!

siwezi kusema moja kwa moja kuwa ni tatizo ila ukionana na dokta baada ya kukuhoji anaweza kutoa diagnosis...

but kwa ushauri tu: ulaji wa nyanya na vitunguu maji vibichi(kachumbari) husaidia kuregulate MP
 
Ndio mkuu inasogea mbele,nina mtoto ana miaka kumi na tatu

Asante kwa ushauri
 
Back
Top Bottom