[emoji38] hapo kwenye comments ajiandae kisaikolojiaHospitali wamekwambiaje?
Uwe tu mvumilivu na comments za wadau zinazokuja
Ha haaa sibanduki kwenye huu uzi[emoji38] hapo kwenye comments ajiandae kisaikolojia
Tutulie na [emoji897] kabisaHa haaa sibanduki kwenye huu uzi
Dalili za BAWASIRIHabari ndugu zangu!!
Ngoja niingie kwenye maada moja kwa moja, kwa muda sasa nimekuwa nikiwashwa sana sehem ya haja kubwa. Nimejaribu kutumia sabun tofaut lakn wapi, nmetumia dawa za minyoo nazo nkizan ni pinworms lakin bado tatizo halijaondoka, naomba mwenye kujua tiba sahihi ya tatizo hili aweze kunisaidia, na kusaidia wengine wenye tatizo kama hili.
Asanten Ndugu zangu, wote mtakao onyesha ushirikiano kwenye hili. [emoji120]
Ugonjwa usikie kwa wengine ..kitendo mwanaume kuwashwa sehemu za haja kubwa sio jambo lizuri mkuu. hatua ulioamua kutufikishia hii habari huku huna agenda ya siri kweli?
We naeHa haaa sibanduki kwenye huu uzi