Msaada: Tatizo la muwasho kwenye njia ya haja Kubwa

Msaada: Tatizo la muwasho kwenye njia ya haja Kubwa

Ulitumia dawa gani ya minyoo?
kwa siku ngapi?
Ulifanya usafi wa mwili nguo za ndani mashuka na kukata kucha?

Shuguli unazofanya zinakuhusisha na kushika shika udongo au kutembea chini?

Unapendelea kula nini*?

Ukubwa wa mwili na uwepo wa mikunjo mikunjo?

Nguo za ndani hubadilisha baada ya muda gani?

nadhani ukijibu maswali haya utapata majibu, na wadau wtapata wepesi katika kutatua jambo lako
 
Habari ndugu zangu!!

Ngoja niingie kwenye maada moja kwa moja, kwa muda sasa nimekuwa nikiwashwa sana sehem ya haja kubwa. Nimejaribu kutumia sabun tofaut lakn wapi, nmetumia dawa za minyoo nazo nkizan ni pinworms lakin bado tatizo halijaondoka, naomba mwenye kujua tiba sahihi ya tatizo hili aweze kunisaidia, na kusaidia wengine wenye tatizo kama hili.

Asanten Ndugu zangu, wote mtakao onyesha ushirikiano kwenye hili. [emoji120]
Nakushauri usitumie dawa ya minyoo kabla ya kupima choo(siyo jengo), pia sabuni haiwezi kutatua tatizo lako. Mwisho JF siyo sehemu sahihi kutatua tatizo lako kwani kilichoniponya mimi si lazima kitakuponya wewe, nenda hospitali ya serikali kapime.
 
Habari ndugu zangu!!

Ngoja niingie kwenye maada moja kwa moja, kwa muda sasa nimekuwa nikiwashwa sana sehem ya haja kubwa. Nimejaribu kutumia sabun tofaut lakn wapi, nmetumia dawa za minyoo nazo nkizan ni pinworms lakin bado tatizo halijaondoka, naomba mwenye kujua tiba sahihi ya tatizo hili aweze kunisaidia, na kusaidia wengine wenye tatizo kama hili.

Asanten Ndugu zangu, wote mtakao onyesha ushirikiano kwenye hili. [emoji120]
Usitumie nguvu wakt wakutawaza,kingine nyoa nywele za huko
 
Inawezekana una kichocho. Tiba ya awali wakati unapowasha kaa kwenye maji vuguvugu kwa muda wa nusu saa.

Chemsha maji yapooze kidogo na uyamimine kwenye beseni. Vua nguo na ukae kwenye besini hilo kwa muda wa dakika kumi na tano hadi therathini.

Maumivu yakizidi mwone daktari.
 
Habari ndugu zangu!!

Ngoja niingie kwenye maada moja kwa moja, kwa muda sasa nimekuwa nikiwashwa sana sehem ya haja kubwa. Nimejaribu kutumia sabun tofaut lakn wapi, nmetumia dawa za minyoo nazo nkizan ni pinworms lakin bado tatizo halijaondoka, naomba mwenye kujua tiba sahihi ya tatizo hili aweze kunisaidia, na kusaidia wengine wenye tatizo kama hili.

Asanten Ndugu zangu, wote mtakao onyesha ushirikiano kwenye hili. [emoji120]
Nunua Konyaji au Gin yoyote utawazie. Pia tafuta dropper zenye mpira, fyonza kiasi kidogo cha pombe (1 ml) kisha kizamishe kidogo halafu achilia pombe iingie huko.
Usiogope: 1. pombe haina madhara ikiingia mwilini.
2. Tiba ya kupitia nyuma inatumika sana kwa watoto na watu wazima.
 
Pole sana mwamba muone daktari kwa ushauri zaidi maana mm najua tiba ya kiasili tu. Kuna vimajani huwa unatafuna kisha unazamisha huko ndani baada ya muda mambo supa. Sema shida ni majan yenyewe kupatikana ili niyapige picha.
 
Wewe uliesoma tittle ukacheka .......nakukemea ktk jina la yesu

Wewe uliefungia thread si kwa Nia ya kushauri Bali kusoma comments..... nakukemea ktk jina la yesu

Wewe kila ukiona notification kuhus hii thread lazima ufungue .....eloi eloi lamatabakithani

Wewe uliewaza ni marketing strategy Mungu akulaani ww na vizazi vyako

Haya narudi kutoa ushauri rasmi hapo ni trela tu
 
Back
Top Bottom