Asante mkuudaa mkuu mimi pia ndiyo balaa nipo mkoa wenye baridi mateso nayopata tumbo linanguruma balaa uku likichoma choma kwa chini utasikia kujamba na kunya kunya tuu ila ukienda toilet hakitoki kitu daa hili tatizo ni kujaa ges tumboni cha kufanya ni kuacha kula kula ovyo pia chips ndiyo balaa acha na pombe pia maharagwe ila tembea na magnesium inasaidia hii inafanya usiweze kushiriki tendo la ndoa