Msaada: Tatizo la tumbo kuunguruma

Msaada: Tatizo la tumbo kuunguruma

sab

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
5,723
Reaction score
4,286
Salaam wana jf,

Naombeni kujua sababu na dawa ya tumbu kuunguruma, hua linaanza nasikia dalili za kujamba sasa wakati mwingine nipo kwenye msongamano wa watu hivyo siwezi kujamba inabidi nijibane ushuzi usitoke hapo sasa ndio tumbo litanguruma weee kwa mliomkubwa,

Naombeni kujua sababu na dawa yake
 
daa mkuu mimi pia ndiyo balaa nipo mkoa wenye baridi mateso nayopata tumbo linanguruma balaa uku likichoma choma kwa chini utasikia kujamba na kunya kunya tuu ila ukienda toilet hakitoki kitu daa hili tatizo ni kujaa ges tumboni cha kufanya ni kuacha kula kula ovyo pia chips ndiyo balaa acha na pombe pia maharagwe ila tembea na magnesium inasaidia hii inafanya usiweze kushiriki tendo la ndoa
 
pendelea kunywa chai ya tangaewizi itamaliza hilo tatizo pls mimi mwenyewe nilikua muhanga ila kwa sasa nk fit
 
daa mkuu mimi pia ndiyo balaa nipo mkoa wenye baridi mateso nayopata tumbo linanguruma balaa uku likichoma choma kwa chini utasikia kujamba na kunya kunya tuu ila ukienda toilet hakitoki kitu daa hili tatizo ni kujaa ges tumboni cha kufanya ni kuacha kula kula ovyo pia chips ndiyo balaa acha na pombe pia maharagwe ila tembea na magnesium inasaidia hii inafanya usiweze kushiriki tendo la ndoa
Asante mkuu
 
Sasa kama tatizo ni ushuzi si ujambe tu kiishe kuliko kujibana ndio matokeo yake hayo. Ila pole
 
Back
Top Bottom