Kuna mtu mmoja alileta thread hapa na kutoa tiba muafaka ya uhonjwa huu. Sodium Bicarbonate ilinitibu kabisa tatizo hilo ambalo lilikuwa sugu sana kwangu. Nilitumia mitishamba na dawa za kizungu bila mafanikio. Tafadhali tumia hiyo Bicarbonate
Sent using Jamii Forums mobile app

Ndiyo hiyo hiyo ndugu yanguSodium bicarbonate si ni baking powder?
Sent by iOS
nakazia hoja
Kuna mtu mmoja alileta thread hapa na kutoa tiba muafaka ya uhonjwa huu. Sodium Bicarbonate ilinitibu kabisa tatizo hilo ambalo lilikuwa sugu sana kwangu. Nilitumia mitishamba na dawa za kizungu bila mafanikio. Tafadhali tumia hiyo Bicarbonate
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda NSK wakufanyie urine cultureMm uume hadi umevimba kiasi kwenye tundu la kichwa cha uume.
Nitumie dawa gani???
ARUSHA KWETU
Namna ya kutumia pls. Tusije kubwia unga kumbe unakoroga kwenye maji,tusije tumia pakti nzima kumbe unapima vijikoKuna mtu mmoja alileta thread hapa na kutoa tiba muafaka ya uhonjwa huu. Sodium Bicarbonate ilinitibu kabisa tatizo hilo ambalo lilikuwa sugu sana kwangu. Nilitumia mitishamba na dawa za kizungu bila mafanikio. Tafadhali tumia hiyo Bicarbonate
Sent using Jamii Forums mobile app