Msaada: Tatizo la UTI limeisha lakini bado mkojo unaendelea kuchoma na kuwasha

Msaada: Tatizo la UTI limeisha lakini bado mkojo unaendelea kuchoma na kuwasha

Habari wakuu.

Nilikuwa na shida ya UTI kwa muda ilinisumbua nikaja nikatumia dawa hasa za mitishamba ikaisha maana za dukani zilidunda zote.

Shida ni kwamba bado mkojo unakuwa unachoma ila nikipima no UTI. Nimeshapima hadi hospitali kubwa inaleta negative.

Je, nini tatizo? Msaada please

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumia juice ya miwa sana kama maji yako ya kunywa au kunywa maji sana.unashida kuanzia mfumo wa maji mwilini ukiwa na kiwango kikubwa cha madini yenye visababishi vya acidic na nchunvi
 
Back
Top Bottom