Habari wakuu.
Nilikuwa na shida ya UTI kwa muda ilinisumbua nikaja nikatumia dawa hasa za mitishamba ikaisha maana za dukani zilidunda zote.
Shida ni kwamba bado mkojo unakuwa unachoma ila nikipima no UTI. Nimeshapima hadi hospitali kubwa inaleta negative.
Je, nini tatizo? Msaada please
Sent using
Jamii Forums mobile app