Mdoe Snr Senior Member Joined Mar 5, 2014 Posts 115 Reaction score 30 Mar 27, 2018 #1 Tafadhali naomba msaada wa nini yaweza kuwa sababu ya kupata vichomi miguuni na yanayoweza kuwa matibabu ya tatizo hill. Asanteni.
Tafadhali naomba msaada wa nini yaweza kuwa sababu ya kupata vichomi miguuni na yanayoweza kuwa matibabu ya tatizo hill. Asanteni.
kalipeni JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 1,571 Reaction score 1,328 Mar 27, 2018 #2 ata mimi ni muhanga wa ilo tatizo ila huwa inatokea nikiwa natembea, kichomi/mfinyo hutokea katikati ya unyayo maumivu yake hua makali sn.
ata mimi ni muhanga wa ilo tatizo ila huwa inatokea nikiwa natembea, kichomi/mfinyo hutokea katikati ya unyayo maumivu yake hua makali sn.