Msaada:Tatizo LA vichomi miguuni(kwenye nyayo)

Msaada:Tatizo LA vichomi miguuni(kwenye nyayo)

Mdoe Snr

Senior Member
Joined
Mar 5, 2014
Posts
115
Reaction score
30
Tafadhali naomba msaada wa nini yaweza kuwa sababu ya kupata vichomi miguuni na yanayoweza kuwa matibabu ya tatizo hill. Asanteni.
 
ata mimi ni muhanga wa ilo tatizo ila huwa inatokea nikiwa natembea, kichomi/mfinyo hutokea katikati ya unyayo maumivu yake hua makali sn.
 
Back
Top Bottom