Ndugu habarini.
Kama kichwa cha uzi kilivyo, nimekumbwa na tatizo hili la kuwa na vipele vingi eneo la kifuani na mgongoni kwenye eneo la mabega kwa muda wa zaidi ya miezi sita sasa. Hivi vipele haviwashi na havina maumivu yoyote, nimefika hospital tofauti tofauti zaidi ya 5, lakini dawa nilizokuwa napewa ni za kupaka tu, na zinasaidia vitapungua kwa muda ambapo nazitumia, kisha vinarejea baada ya siku chache. Naombeni ushauri na msaada nifanye nini? Maana hadi nimepima magonjwa mengine kama hiv ili kubaini tatizo lakini niko salama, sasa sijui hili ni tatizo gani.