Ahsante, nitaleta mrejeshoTumia vidonge vya fluconazole
na skyderm cream kwaajili ya kupaka kwenye ngozi
Sifahamu kuhusu hilo, sababu haviwashi na wala havina maumivu yoyote.Au ni vile wanavyoitaga makanda wa jeshi
Jaribu kwenda kwa doctory mtaalam wa ngoziSifahamu kuhusu hilo, sababu haviwashi na wala havina maumivu yoyote.
Vimedumu kwa muda gani?
Pole sana, wewe unadamu chafu wahitji kusafisha damu. Tatizo la wasomi wetu wanatibu dalili ndio maana wanapaka cream cream tu kila wakati creams maranyingi hutibu magonjwa ya mba, vishilingi, eczema nk, ila kwa issue ya vipele na majipu ni damu kuisafisha waweza fanya mwenyewe ingawa itachukua muda mfano, tumia mboga za majani zenye Iron Florine kwa wingi mfano, mchunga (wild lettuce), mnavu nkNdugu habarini.
Kama kichwa cha uzi kilivyo, nimekumbwa na tatizo hili la kuwa na vipele vingi eneo la kifuani na mgongoni kwenye eneo la mabega kwa muda wa zaidi ya miezi sita sasa. Hivi vipele haviwashi na havina maumivu yoyote, nimefika hospital tofauti tofauti zaidi ya 5, lakini dawa nilizokuwa napewa ni za kupaka tu, na zinasaidia vitapungua kwa muda ambapo nazitumia, kisha vinarejea baada ya siku chache. Naombeni ushauri na msaada nifanye nini? Maana hadi nimepima magonjwa mengine kama hiv ili kubaini tatizo lakini niko salama, sasa sijui hili ni tatizo gani.
Mkuu mrejesho vipi, ulifanikiwa kupata tiba na ulitumia njia ipi?Ndugu habarini.
Kama kichwa cha uzi kilivyo, nimekumbwa na tatizo hili la kuwa na vipele vingi eneo la kifuani na mgongoni kwenye eneo la mabega kwa muda wa zaidi ya miezi sita sasa. Hivi vipele haviwashi na havina maumivu yoyote, nimefika hospital tofauti tofauti zaidi ya 5, lakini dawa nilizokuwa napewa ni za kupaka tu, na zinasaidia vitapungua kwa muda ambapo nazitumia, kisha vinarejea baada ya siku chache. Naombeni ushauri na msaada nifanye nini? Maana hadi nimepima magonjwa mengine kama hiv ili kubaini tatizo lakini niko salama, sasa sijui hili ni tatizo gani.
Vya kwangu Vina miaka Zaidi ya Kumi sasaVimedumu kwa muda gani?