Habari zenu na pia heri ya Christmas jaman ndugu yenu nafunga mwaka vibaya naumwa vitu vinatembea mwilini na mwili unatikisika nitumie tiba gani nimehangaika hospital zote sioni tatizo
Nimeenda kwenye maombi lakini bado kwa anaejua tiba anisaidie nipone
Shukran
mwili una washa pia?
We ni me au ke?
Na je hivyo vitu hutembea sehemu gani mwilini?
Eleza vizuri
Vinatembeaje? Je huwa unapata na vichomi ?
Acha wake za watu
Hujajibu swali la jinsiaMwili wote kasoro kichwani leo nimetoka kwenye maombi mwili unawaka moto lakini bado vitu vinatembea au miujiza inachagua watu
Pole mzee, kuna tatizo mahali au wamekupiga juju?
Hujajibu swali la jinsia
Pole sana...
pole sana
upo tayari kumpokea Yesu awe bwana na mwokozi wako
na kuheshim sheria zake?
Kuna pahali nataka nikuelekeze kwa mtumishi akuombee utapona hakika, huyo mtumishi sio wa mchongo yeye huombea watu kwa jina la Yesu na hufunguliwa kabisaJinsia ni ke