DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Una umri wa miaka mingapi?Sijui nikujibu vipi unielewe sio Kama sisali ila nimepatwa na ugonjwa nisiojua tiba yake ndo maana nimekuja kuomba msaada
Halaf kuna ndugu zangu kama watatu walikua wanaumwa lakini sio ugonjwa kama wangu wakaenda kwa sheikh mkoa fulani wakapona kabisa
Lakini sheikh yuleyule mimi alikataa kunitibu sasa sijui wachawi wanawapaga rushwa [emoji24]
Akaanza kuniambia vitu havina uhalisia sijui nikatibiwe makaburini nikaachana nae nikawa naenda kwenye maombi tuu
Lakini bado sijapona tena nikisali mwili wote unawaka moto nyama za mwili zinatingishika kupita kiasi
Mimi nataka kukupa ushauri