Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu ndiye aliyekupa hayo macho ya kiroho, hata ukawaona. Muombe yeye Mungu huyo huyo akusaidie, akutoe kwenye taabu hiyo.Sawa lakini mimi niliwaona sio kwa kupenda kwangu iliyokea tuu hivyo halafu ni watu na heshima zao kwenye jamii
Kwamba wao ni wachawi na uliwaona walipokuwa wakifanya uchawi wao.
Wachawi haohao, ili kukuroga usitoe siri zao wakaamua watumie mganga kukuroga. Unamaanisha warogaji alitumia mganga kukuroga?
Na kama haitoshi, watu uliowashuhudia kwa macho yako mwenyewe wakifanya ulozi, wakakuletea mganga kwa uongo wa kwamba wanakutibu na ukakubali?
Mbona sioni mantiki ya jicho lako la tatu unalosema hapa?
Sijajua umri wako lkn km ni above 40 kapime kisukar na pressure
Ila we jamaa bwana[emoji28].
Miujiza mingi ni feki.Mwili wote kasoro kichwani leo nimetoka kwenye maombi mwili unawaka moto lakini bado vitu vinatembea au miujiza inachagua watu
Sukari ulishapima?Mwili wote kasoro kichwani leo nimetoka kwenye maombi mwili unawaka moto lakini bado vitu vinatembea au miujiza inachagua watu
Miujiza mingi ni feki.
Badili mindset yako wala hujarogwa...nenda hospitali kama miujuza imeshindikana.
Sukari ulishapima?
Inawezekana unaumwa ugonjwa wa kawaida halafu wewe unawaza kutendewa miujiza. nenda kafanye checkup ya mwili wako.Hamna hospital sijaenda ndugu halafu sio kwamba hata naumwa ila inatokea muda mwingi hivyo vitu vinatembea mwilini na Niko sawa tuu siumwi na niko physically fit mwaka wa tano huu
Tatizo ni hivyo vitu na sijui vinaishaje
Kama unaota hizo ndoto ,watu wa ajabu ajabu,upo makaburini Ni nguvu za gizaNimepima kila kitu niko mzima wa afya
Kuhusu kwenye maombi usiende kama unaenda Hospital au kwa sheikh.Nenda kama unaenda kukutana na aliyeuumba huo mwili unaokusmbua.Hapa na maanisha weka imani kwanza kwake.Habari zenu na pia heri ya Christmas, jaman ndugu yenu nafunga mwaka vibaya; naumwa vitu vinatembea mwilini na mwili unatikisika. Nitumie tiba gani nimehangaika hospital zote sioni tatizo.
Nimeenda kwenye maombi lakini bado kwa anaejua tiba anisaidie nipone. Halafu ajabu ni kuwa watu wengine wanatibiwa wanapona na Masheikh na Wachumgaji lakini mimi siponi sijui shida ni nini.
Au miujiza inachagua jamani, mbona sielewi?
Shukran.
Inawezekana unaumwa ugonjwa wa kawaida halafu wewe unawaza kutendewa miujiza. nenda kafanye checkup ya mwili wako.
Jarib kupima sukarSijafika hata 30 mkuu
Pole sana. Naamini utapata suluhishoNimetoka kufanya check up hata mwezi haujaisha sina tatizo Niko safi kabisa
Kama unaota hizo ndoto ,watu wa ajabu ajabu,upo makaburini Ni nguvu za giza
Jarib kupima sukar
Kwanini unaamini uchawiNdo hivyo jana pia nimeota mtu anataka tufanye mapenzi lakini akashindwa ila nguo ninayokua nimevaa inakua ni chafu inanuka na pia mara nyingine naota Nipo chooni na vyoo ni vichafu balaa [emoji24][emoji24]