Mwili kucheza cheza wenyewe ni dalili za mzunguko mbaya wa damu mwilini au mfumo mishipa ya fahamu.
Mfano mdogo kama umewahi kuona mbuzi anachinjwa damu ikitoka unaona nyama zinatikisika zenyewe.
Dalili za kusikia maruwe ruwe ni Moja kwa Moja linahusiana na tatizo hilo la mzunguko mbaya wa damu ambao unaweza kubatana na dalili za ncha za vidole vya mikono au miguu kufa ganzi au miguu kuwa kama inawaka moto.
Nenda hospitali kapime moyo na pressure.Ukiwa na tabia ya kutafuna kitumguu swaumu yaweza kupunguza au dawa za wamasai za kunjwa kwa supu au maziwa