MSAADA: Tatizo la vitu kutembea mwilini

MSAADA: Tatizo la vitu kutembea mwilini

Sijui nikujibu vipi unielewe sio Kama sisali ila nimepatwa na ugonjwa nisiojua tiba yake ndo maana nimekuja kuomba msaada
Halaf kuna ndugu zangu kama watatu walikua wanaumwa lakini sio ugonjwa kama wangu wakaenda kwa sheikh mkoa fulani wakapona kabisa
Lakini sheikh yuleyule mimi alikataa kunitibu sasa sijui wachawi wanawapaga rushwa [emoji24]
Akaanza kuniambia vitu havina uhalisia sijui nikatibiwe makaburini nikaachana nae nikawa naenda kwenye maombi tuu
Lakini bado sijapona tena nikisali mwili wote unawaka moto nyama za mwili zinatingishika kupita kiasi
Una umri wa miaka mingapi?

Mimi nataka kukupa ushauri
 
Pole.
Hapo washawasiliana ili ufe au uteseke zaidi.
Ukimdadisi huyo sheikh atakuambia ukweli
 
Sababu zinazoweza kuwa zinasababisha tatizo lako...
1. HIV
2. TYPHOID
3. MALARIA
4. MAPEPO/MAJINI.
kwa maneno ya jamaa haiwezi kuwa malaria wala Typhoid wala HIV hapo yatakuwa na hayo mapepo na Uchawi tu maana Tatizo lina miaka mitano, Shida ya hayo mambo ya kichawi huwa yanasababisha na matatizo mengine sasa kama uliyoyataja.
 
Nifanyaje jmn naishi maisha magumu sikutegemea kama nitaishi hivi kwenye maisha yangu kweli uchawi upo
 
Mwili kucheza cheza wenyewe ni dalili za mzunguko mbaya wa damu mwilini au mfumo mishipa ya fahamu.

Mfano mdogo kama umewahi kuona mbuzi anachinjwa damu ikitoka unaona nyama zinatikisika zenyewe.

Dalili za kusikia maruwe ruwe ni Moja kwa Moja linahusiana na tatizo hilo la mzunguko mbaya wa damu ambao unaweza kubatana na dalili za ncha za vidole vya mikono au miguu kufa ganzi au miguu kuwa kama inawaka moto.
Nenda hospitali kapime moyo na pressure.Ukiwa na tabia ya kutafuna kitumguu swaumu yaweza kupunguza au dawa za wamasai za kunjwa kwa supu au maziwa
Huo mzunguko mbaya wa damu unasababishwa na nini na tiba ya hospital huwa ni nini au haipo?
 
Moja mpaka tatu nimepima sina tatizo labda hiyo namba nne mkuu ndo itakua inanisumbua
Kama ni hivyo bas kumbuka maisha yako ya nyuma huenda kuna mtu ulimkosea, na huyo mtu hadi leo anakuhangaikia akuharibu! Namaanisha hakukuloga miaka mi5 nyuma akatulia, bali analoga kila siku na anafatilia unaendeleaje, uko kwenye maagano. Pengine ulimkubalia mtu kuwa atakuoa ukaja badilika, jichunguze kwanza. Ama uligombana na mtu flani ugomvi mkubwa.
 
Nenda hapa. Fungua hyo picha
IMG_20210919_080704_239.jpg
 
Kama ni hivyo bas kumbuka maisha yako ya nyuma huenda kuna mtu ulimkosea, na huyo mtu hadi leo anakuhangaikia akuharibu! Namaanisha hakukuloga miaka mi5 nyuma akatulia, bali analoga kila siku na anafatilia unaendeleaje, uko kwenye maagano. Pengine ulimkubalia mtu kuwa atakuoa ukaja badilika, jichunguze kwanza. Ama uligombana na mtu flani ugomvi mkubwa.

Niliwaona wachawi wakiwa wanaenda kuloga nikawatambua ndo shida ilianzia hapo na sikuwaona mara moja
 
Back
Top Bottom