MSAADA: Tatizo na madoa meusi mikononi na miguuni

Marek18

Member
Joined
Apr 26, 2020
Posts
20
Reaction score
18
Naomba msaada wa kuondoa madoa haya kwa mdogo wangu wa kike
umri miaka 15.

mwanzo alikua anasumbuliwa na upele uliokua unajitokeza kwa awamu na alipoenda hospital aliambiwa ni Allergy.

Hili tatizo la kupata vipele vinavyowasha lilikua lina kuja na kupotea baada ya muda....

Baadae kidogo ndipo limekuja hili la upele miguuni na baada ya upele kuondoka yamebaki haya madoa meusi...

Haya madoa yameharibu muonekano mzuri wa miguu yake kabsa....

Naombeni msaada kwa yeyote mwenye uelewa juu ya tatizo hili.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…