Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Ukiachana na hyo kma uko njema Kuna hospital ya private hata bima wanachukua iko magomeni usalama pale karibu na jengo la utumishi house inaitwa omega dental pia wako poa wanachukua bima.Hii hospital ya Regency iko wapi madam kwa Dar ?, naomba unielekeze !
Nyingine sema hawachukui bima wapo mabibo mwisho relini ibungu bar hapa Ina gorofa Kam tatu ivi iko barabara kabisa ila hawachui bima but gharama nafuu haizidi 80k . Jichange uje aibu mzee