MSAADA: Tatizo ni meno kuwa na rangi nyeusi (Meno 🦷)

Hii hospital ya Regency iko wapi madam kwa Dar ?, naomba unielekeze !
Ukiachana na hyo kma uko njema Kuna hospital ya private hata bima wanachukua iko magomeni usalama pale karibu na jengo la utumishi house inaitwa omega dental pia wako poa wanachukua bima.

Nyingine sema hawachukui bima wapo mabibo mwisho relini ibungu bar hapa Ina gorofa Kam tatu ivi iko barabara kabisa ila hawachui bima but gharama nafuu haizidi 80k . Jichange uje aibu mzee
 
Shukrani mkuu , nitakuja ngoja nijipige pige wiki ijayo nitokee 80k sio mbaya turudishe tabasamu aseee!! Sijawahi kupata shida ya meno kung'oa wala kuuma !! Ila nataka nijiwekee mazoea ya kuwa naenda kusafisha meno nasikia yanakua meupe zaidi !
 
umetumia colgate gani kuondoa unjano kwenye meno maana tatizo la meno kuwa ya njano linanitesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…