Eliah The Great
Member
- Mar 22, 2013
- 21
- 3
Mkuu.@gody sisi tunachowaambia watu humu ndani jambo la kwanza nenda kapime au nenda kamuone Daktari lakini utakuta mtu akiwa mgonjwa au akigomban na mke wake kidogo anakimbilia Jamii forums kueleza shida yakeHumu ifikie wakati tuanze kuambiana ukweli
hilo swala lako kweli la kuleta Jf dr.?
Nimeona sisi wanaume tuna tatzo kabsa
huwa na tunakaa na matatizo na kuyaleta jf mpaka tuambiwe tukawaone wataalamu?
Hivi swala dogo kama hili linahtaji elimu ya kujua hapa naumwa au laa!
Kwa nikamuone dr. Au vp?
Ninachojua mm nikuwa mtu umeenda kwa mtaalam kakwambia kuwa mf. Una UTI,Gono au syphil au hawaoni tatizo au umepewa dawa haujapona ndo unakuja huku kuomba altntve way ya kutatua tatzo lako!
Jiulize kuwa kati Jf na Dr ambaye utamueleza tatzo lako ukiwa naye karib na akachukua vipmo! yupi bora
Sawa sikatai kuwa hapa kuna ma dr. Tena wakubwa tu na hili jukwaa mimi naliheshimu sana coz naonaga watu wanaeleza matatzo yao na wanandikiwa dawa wanatumia na wanaleta feedback
kuna matatzo mengine tunaweshauriana tukapitsha kuwa una U.t.i tukakushauli kumywa maji mengi sjui uchanganye na limao. Kumbe unakansa ya kibofu sjui, una matatizo kwa figo au una kisono
ukawa unajichelewesha kwenda kuwah tatzo ! Wewe unafkiri hii imekaa sawa?
usije ukanifikilia vibaya au nakukashfu badala kukupa dawa
nini namaanisha angalia mfano huu!
Mimi ni mmoja kati ya watu kama ww nilikuwa naleta uzi kila mara kuhusu maswala ya uzazi leo nakuja na pre-mature ejacltn kesho nakuja na la sperm count, speed n.k
sasa kila siku wakina MziziMkavu hapa wananishauri na kunimbia nikatumie nini, wakati huo huo siku ya kushika ujazito ni ipi kwa mke wangu? Dawa napewa lkn tatzo halihish na ambiwa siku za mke wangu za hatar na kweli dalili naziona lkn hapat mimba
hatua nilioichuku ni wanaume wachache wanojitokeza kuona wataalamu nilienda kwa Dr. Kwa kupima Sperm test lkn nilifunguka sana kueleza matatzo yangu aliniambia ni kuwa niachane na Sperm test bali kipmo kinaitwa FBP(full Blood Picture) vipmo vkaonyesha kuwa cells za damu zipo chini mno yaani
Red blood cells- zipo chini sana chache
Wht blood cells na zenyewe hivyo hvyo
Platelte hizi ndo kabisa 30 wakat nomal ni kuanzia 150 kuendelea
kwa hiyo swala zima la uzazi kuanzia
sperm speed,count/volume na pre-matre ejaculatn hayawez kukaa sawa bila hizi cells!!!
sasa je nisingekwenda hosptl si ningekuwa kwa waganga au natafuta viagra farmacy au dawa za wamasai au namlalamikia mke wangu hazai???
chukua mfano huo kajifunze!!
Umeshahi kufanya matusi bila condom? if yes, lini?
Kwa umri wako mara nyingi tatizo kama hilo husababishwa na infections. Unatakiwa kwenda kwenye hospitali ambayo wataweza kufanya microbiology analysis ya mkojo wako na specimen ya kutoka kwende urethra. Hapo wanaweza kuona kama kuna vijidudu vilivyosababisha na kujua dawa yenye uwezo wa kujingamiza.
Kwa kipindi hiki inabidi uhaihirishe kufanya matusi mpaka utakapojua sababu ya uginjwa wako. Vilevile kunywa maji mengi, yasipungue lita mbili kwa siku.
Mkuu. kabla hujaja hapa kupata ushauri ilikuwa bora uende Hospitali kumuona Daktari ili apate kukuangalia hayo matatzo kuliko kuja hapa na kueleza matatizo yako wakati hujafika hata hospitali kumuona Daktari.Kamuone Daktari akikupa dawa bado hujapona ndio uje hapa kuleta matatizo yako na utaweza kupata ushauri wetu itakuwa jambo bora zaidi mkuu kufanya hivyo.[/B]

Mkuu.@gody sisi tunachowaambia watu humu ndani jambo la kwanza nenda kapime au nenda kamuone Daktari lakini utakuta mtu akiwa mgonjwa au akigomban na mke wake kidogo anakimbilia Jamii forums kueleza shida yake
wakati hospitali zipo na Ma-Daktari wapo wa kuwaeleza shida zako. hapa unakuja wakati hospitali imeshindikana umesha waona Ma-
Daktari na bado hujapona matatizo yako ndio unakuja hapa kueleza shida yako na umefikia wapi kwenye hayo matatizo yako sio kuja moja kwa moja kueleza shida yako wakjati hospitali zipo bravo mkuu gody wape ushauri wako mzuri sana.
Humu ifikie wakati tuanze kuambiana ukweli
hilo swala lako kweli la kuleta Jf dr.?
Nimeona sisi wanaume tuna tatzo kabsa
huwa na tunakaa na matatizo na kuyaleta jf mpaka tuambiwe tukawaone wataalamu?
Hivi swala dogo kama hili linahtaji elimu ya kujua hapa naumwa au laa!
Kwa nikamuone dr. Au vp?
Ninachojua mm nikuwa mtu umeenda kwa mtaalam kakwambia kuwa mf. Una UTI,Gono au syphil au hawaoni tatizo au umepewa dawa haujapona ndo unakuja huku kuomba altntve way ya kutatua tatzo lako!
Jiulize kuwa kati Jf na Dr ambaye utamueleza tatzo lako ukiwa naye karib na akachukua vipmo! yupi bora
Sawa sikatai kuwa hapa kuna ma dr. Tena wakubwa tu na hili jukwaa mimi naliheshimu sana coz naonaga watu wanaeleza matatzo yao na wanandikiwa dawa wanatumia na wanaleta feedback
kuna matatzo mengine tunaweshauriana tukapitsha kuwa una U.t.i tukakushauli kumywa maji mengi sjui uchanganye na limao. Kumbe unakansa ya kibofu sjui, una matatizo kwa figo au una kisono
ukawa unajichelewesha kwenda kuwah tatzo ! Wewe unafkiri hii imekaa sawa?
usije ukanifikilia vibaya au nakukashfu badala kukupa dawa
nini namaanisha angalia mfano huu!
Mimi ni mmoja kati ya watu kama ww nilikuwa naleta uzi kila mara kuhusu maswala ya uzazi leo nakuja na pre-mature ejacltn kesho nakuja na la sperm count, speed n.k
sasa kila siku wakina MziziMkavu hapa wananishauri na kunimbia nikatumie nini, wakati huo huo siku ya kushika ujazito ni ipi kwa mke wangu? Dawa napewa lkn tatzo halihish na ambiwa siku za mke wangu za hatar na kweli dalili naziona lkn hapat mimba
hatua nilioichuku ni wanaume wachache wanojitokeza kuona wataalamu nilienda kwa Dr. Kwa kupima Sperm test lkn nilifunguka sana kueleza matatzo yangu aliniambia ni kuwa niachane na Sperm test bali kipmo kinaitwa FBP(full Blood Picture) vipmo vkaonyesha kuwa cells za damu zipo chini mno yaani
Red blood cells- zipo chini sana chache
Wht blood cells na zenyewe hivyo hvyo
Platelte hizi ndo kabisa 30 wakat nomal ni kuanzia 150 kuendelea
kwa hiyo swala zima la uzazi kuanzia
sperm speed,count/volume na pre-matre ejaculatn hayawez kukaa sawa bila hizi cells!!!
sasa je nisingekwenda hosptl si ningekuwa kwa waganga au natafuta viagra farmacy au dawa za wamasai au namlalamikia mke wangu hazai???
chukua mfano huo kajifunze!!
Mkuu gody,nimekupata vema.
Nimepost hapa kwa sababu kadhaa:
1/Kujua iwapo hii hali ya kukojoa kwa pressure ndogo kiasi hiki ni tatizo kitaalamu,kwani apart from that,sisikii maumivu yoyote.
2/Kujua toka kwa watu ambao ywamewahi ku experience hali hii,ili kuwa na hakika kama hali hii ni ya kawaida na inaisha yenyewe au kama nitahitaji medication.
Ahsante kwa ushauri,nitamwona daktari soon.
Mpaka mkojo unatoka kama matone bado tu upo hujakwenda hospital? Jali afya yako
Waacha wee......................................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!alitaka kujua kama umeshawah ku experience tatzo kama hilo!