Humu ifikie wakati tuanze kuambiana ukweli
hilo swala lako kweli la kuleta Jf dr.?
Nimeona sisi wanaume tuna tatzo kabsa
huwa na tunakaa na matatizo na kuyaleta jf mpaka tuambiwe tukawaone wataalamu?
Hivi swala dogo kama hili linahtaji elimu ya kujua hapa naumwa au laa!
Kwa nikamuone dr. Au vp?
Ninachojua mm nikuwa mtu umeenda kwa mtaalam kakwambia kuwa mf. Una UTI,Gono au syphil au hawaoni tatizo au umepewa dawa haujapona ndo unakuja huku kuomba altntve way ya kutatua tatzo lako!
Jiulize kuwa kati Jf na Dr ambaye utamueleza tatzo lako ukiwa naye karib na akachukua vipmo! yupi bora
Sawa sikatai kuwa hapa kuna ma dr. Tena wakubwa tu na hili jukwaa mimi naliheshimu sana coz naonaga watu wanaeleza matatzo yao na wanandikiwa dawa wanatumia na wanaleta feedback
kuna matatzo mengine tunaweshauriana tukapitsha kuwa una U.t.i tukakushauli kumywa maji mengi sjui uchanganye na limao. Kumbe unakansa ya kibofu sjui, una matatizo kwa figo au una kisono
ukawa unajichelewesha kwenda kuwah tatzo ! Wewe unafkiri hii imekaa sawa?
usije ukanifikilia vibaya au nakukashfu badala kukupa dawa
nini namaanisha angalia mfano huu!
Mimi ni mmoja kati ya watu kama ww nilikuwa naleta uzi kila mara kuhusu maswala ya uzazi leo nakuja na pre-mature ejacltn kesho nakuja na la sperm count, speed n.k
sasa kila siku wakina
MziziMkavu hapa wananishauri na kunimbia nikatumie nini, wakati huo huo siku ya kushika ujazito ni ipi kwa mke wangu? Dawa napewa lkn tatzo halihish na ambiwa siku za mke wangu za hatar na kweli dalili naziona lkn hapat mimba
hatua nilioichuku ni wanaume wachache wanojitokeza kuona wataalamu nilienda kwa Dr. Kwa kupima Sperm test lkn nilifunguka sana kueleza matatzo yangu aliniambia ni kuwa niachane na Sperm test bali kipmo kinaitwa FBP(full Blood Picture) vipmo vkaonyesha kuwa cells za damu zipo chini mno yaani
Red blood cells- zipo chini sana chache
Wht blood cells na zenyewe hivyo hvyo
Platelte hizi ndo kabisa 30 wakat nomal ni kuanzia 150 kuendelea
kwa hiyo swala zima la uzazi kuanzia
sperm speed,count/volume na pre-matre ejaculatn hayawez kukaa sawa bila hizi cells!!!
sasa je nisingekwenda hosptl si ningekuwa kwa waganga au natafuta viagra farmacy au dawa za wamasai au namlalamikia mke wangu hazai???
chukua mfano huo kajifunze!!