Msaada TCU: CAS inanigomea kwa sababu nilishawahi kuomba

Mdenya blood

Member
Joined
Apr 27, 2015
Posts
51
Reaction score
5
Jamani wakuu nisaidieni hili mbona ninapo omba vyuo kwenye CAS nikikifika sehemu ya profile wananiambia nimeshawahi kuomba vyuo inatakiwa nipeleke evidence zinazo thibitisha kuwa sijwahi kuomba vyuo.Ni kweli nilishwahi kuomba vyuo kwakutumia system hyo ya online(2012) but masuala ya kukosa ada na kuugua vilinifanya niache masomo,mwaka huu nikaona niombe tena but napata vikwazo,je ni evidence gani wanahitaji kwani niliwapigia tcu lakini hawakupokea cm
 
Mkuu unapeleka barua TCU ya kuomba kudahiliwa upya na kutaja sababu zilizokufanya ushindwe kuhudhuria masomo....kwa msaada zaidi tembelea web ya TCU mm ni mmojawapo wa mhanga wa hilo tatizo
 
Back
Top Bottom