pemgtoonet.com
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 879
- 618
kama hukuwepo kwenye list ya waliokosa basi uko kwenye list ya undergraduate wa sua
nashukuru kwa hilo. Kwenye list ya waliokosa jina halimo but cas status insema processed
hata mimi kwenye list ya waliokosa cpo ila udsm na udom hola nmepiga cm tcu wamesema majina kerho
wote account zao za cas zinaonyesha hivyo hata kama jina lako umeliona kwenye chuo husika hivyo so uhakika wako mkubwa uko sua
Majina ya vyuo vyote yanatoka kesho tar 30chuo gani au sua?
wote account zao za CAS zinaonyesha hivyo hata kama jina lako umeliona kwenye chuo husika hivyo so uhakika wako mkubwa uko SUA
ila anaweza kuwemo kwenye wale watu 8000 waliokosa kabisa lakini sio kama namuombea mabaya bali ni mawazo yangu tu
hata mimi kwenye list ya waliokosa cpo ila udsm na udom hola nmepiga cm tcu wamesema majina kerho
Udsm, udom patupu nasubiri st john
Majina ya vyuo vyote yanatoka kesho tar 30
hujielewi