Msaada TCU Jamani

Msaada TCU Jamani

pemgtoonet.com

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Posts
879
Reaction score
618
Naomba kujulishwa kwa walioomba vyuo elimu ya juu kama umechaguliwa tayari kwenye cas selection status inaandika nini? Maana nina kwangu bado jina halijatoka na vyuo nilivyoomba ni udsm, udom na sua. Majina sua bado kwa udsm na udom jina halimo..
 
hata mimi kwenye list ya waliokosa cpo ila udsm na udom hola nmepiga cm tcu wamesema majina kerho
 
hata mimi kwenye list ya waliokosa cpo ila udsm na udom hola nmepiga cm tcu wamesema majina kerho
 
Mkuu amebakiza choice moja tu na ilikuwa first choice yake. Na hakuwepo kwa waliokosa afanyeje ajue kama kapata? St john imebak, au ndo mishe imekwama?
 
wote account zao za CAS zinaonyesha hivyo hata kama jina lako umeliona kwenye chuo husika hivyo so uhakika wako mkubwa uko SUA

ila anaweza kuwemo kwenye wale watu 8000 waliokosa kabisa lakini sio kama namuombea mabaya bali ni mawazo yangu tu
 
Back
Top Bottom