Msaada tcu

Msaada tcu

mohammad_othar

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
247
Reaction score
42
Mi nina cut off point 9 na nimeapply vyou kama Muhas kcmc bugando kairuki kwa ajili ya medicine lakini nikijaribu kuangalia eligibilty naambiwa No bugando wakati wao wanahitaji points 7 tu kama muhas na wakati Muhas nimeekewa yes mwenye kuweza nielezA ni kwa nn?
 
Hii imewakumba wengi tu.Kuna jamaa alikuwa na 7,Muhas,KCMC na St.Francis wamempa YES but Bugando inamletea NO.Wapo wengine wanapigwa NO mpaka Udom.Nadhani itakuwa system error na si kwamba haukidhi vigezo.
 
Poa mkuu nadhani kuna tatizo bwana mimi naiacha kama ilivo koz nimejaribu kusoma mpaka requirement kwenye guide book nimekidhi so lazima kutakua na tatizo
 
Bora wewe moja,kwangu 2 of them zimeandikiwa 'NO' kwenye met minimum requirement na zote nimepita vigezo as per guide book
 
mi nina cut off point 9 na nimeapply vyou kama muhas kcmc bugando kairuki kwa ajili ya medicine lakini nikijaribu kuangalia eligibilty naambiwa no bugando wakati wao wanahitaji points 7 tu kama muhas na wakati muhas nimeekewa yes mwenye kuweza nieleza ni kwa nn?
sema una points 9 sio cut off,vyuo ndio vinakuwa na cut off ina maana kwa mfano bugango min requirement ni points 7 kama wameomba wengi wenye sifa zaidi inawezekana wakachukua mtu wa mwisho ana point 10 labda,sasa hiyo point ya mwisho kuchukua ndio cut off ila usihofu itakuwa ni system error angalia siku nyingine
 
Back
Top Bottom