mohammad_othar
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 247
- 42
Mi nina cut off point 9 na nimeapply vyou kama Muhas kcmc bugando kairuki kwa ajili ya medicine lakini nikijaribu kuangalia eligibilty naambiwa No bugando wakati wao wanahitaji points 7 tu kama muhas na wakati Muhas nimeekewa yes mwenye kuweza nielezA ni kwa nn?