mohammad_othar
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 247
- 42
sema una points 9 sio cut off,vyuo ndio vinakuwa na cut off ina maana kwa mfano bugango min requirement ni points 7 kama wameomba wengi wenye sifa zaidi inawezekana wakachukua mtu wa mwisho ana point 10 labda,sasa hiyo point ya mwisho kuchukua ndio cut off ila usihofu itakuwa ni system error angalia siku nyinginemi nina cut off point 9 na nimeapply vyou kama muhas kcmc bugando kairuki kwa ajili ya medicine lakini nikijaribu kuangalia eligibilty naambiwa no bugando wakati wao wanahitaji points 7 tu kama muhas na wakati muhas nimeekewa yes mwenye kuweza nieleza ni kwa nn?