Naomba kujuzwa kwa waliomaliza diploma mwaka 2014 ili kujisajili kwenye CAS ya TCU wanatumia result za kidato cha nne au diploma? nauliza hivi sababu wengine matokeo hayajatoka mpaka sasa na deadline ya TCU ni 30 june. kuna kupona hapa au ndo imekula kwetu??
Mwenye kufahamu tafadhali anijuze.