Msaada TCU

Msaada TCU

Mjomba Fujo

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2012
Posts
2,438
Reaction score
6,313
Naomba kujuzwa kwa waliomaliza diploma mwaka 2014 ili kujisajili kwenye CAS ya TCU wanatumia result za kidato cha nne au diploma? nauliza hivi sababu wengine matokeo hayajatoka mpaka sasa na deadline ya TCU ni 30 june. kuna kupona hapa au ndo imekula kwetu??

Mwenye kufahamu tafadhali anijuze.
 
wa mwaka huu inakwenda mpaka mwezi wa nane kama sikosei nenda kwenye mtandao kasome uone
 
Back
Top Bottom