inafungwa vizuri tu, kuna marekebisho kidogo utayafanya. 1HZ used kwa hapo Dsm engene nzuri inauzwa kuanzia tzs 10-13milioni. Ila ukiagiza inagharimi kiasi cha usd 3500-4000.Swali la ziada.
1. 1HZ inaweza fungwa katika nissan civilian ikakaa.?
2. Engine ya 1HZ inafika bei gani.?
3. Unaweza pata engine ya kuahiza ya 1HZ mtumba ambayo ipo vizuri na inadai.?
Kwa mwenye uelewa juu ya hizi engine naomba msaada hususan kulinganisha matumizi yake katika magari yanayofanya shughuli za Daladala.
Ningependa kujua na kuzilinganisha juu ya Uimara, ustahimilivu, uwezo(nguvu), utengenezaji(Maintanance) na utumiaji wa mafuta.
Ndio wanazoTrusted Website za kuagiza ni zipi.? Befoward wanazo.?
siku hizi hazieleweki mtachoma hapo hapo. Ila haizidi tzs 3milion.Issue za kodi na clearance zake bandarini zipoje.? Gharama zake kiujumla.