Msaada : TD42, 1Hz, 1HDT, 14B

Msaada : TD42, 1Hz, 1HDT, 14B

Complex

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2013
Posts
4,119
Reaction score
4,779
Kwa mwenye uelewa juu ya hizi engine naomba msaada hususan kulinganisha matumizi yake katika magari yanayofanya shughuli za Daladala.

Ningependa kujua na kuzilinganisha juu ya Uimara, ustahimilivu, uwezo(nguvu), utengenezaji(Maintanance) na utumiaji wa mafuta.
 
Swali la ziada.

1. 1HZ inaweza fungwa katika nissan civilian ikakaa.?
2. Engine ya 1HZ inafika bei gani.?
3. Unaweza pata engine ya kuahiza ya 1HZ mtumba ambayo ipo vizuri na inadai.?
 
inafungwa vizuri tu, kuna marekebisho kidogo utayafanya. 1HZ used kwa hapo Dsm engene nzuri inauzwa kuanzia tzs 10-13milioni. Ila ukiagiza inagharimi kiasi cha usd 3500-4000.
 
1Hz pia 14B
Kwa mwenye uelewa juu ya hizi engine naomba msaada hususan kulinganisha matumizi yake katika magari yanayofanya shughuli za Daladala.

Ningependa kujua na kuzilinganisha juu ya Uimara, ustahimilivu, uwezo(nguvu), utengenezaji(Maintanance) na utumiaji wa mafuta.
 
inafungwa vizuri tu, kuna marekebisho kidogo utayafanya. 1HZ used kwa hapo Dsm engene nzuri inauzwa kuanzia tzs 10-13milioni. Ila ukiagiza inagharimi kiasi cha usd 3500-4000.

Trusted Website za kuagiza ni zipi.? Befoward wanazo.?
 
Back
Top Bottom