Unaweza kunifafanulia zaidi mkuu
Dilema inakuja kwamba kila mtu anakwambia lake
nenda tech wewe faida
yake baada ya miaka mitatu utakuwa na diploma itakayo kuwezesha
kujiajiri au kuajiriwa huku ukiwa pia na uwezo wa kusoma degree na
utakuwa comptent kushinda wa high school, tofauti yako wewe na wa high
school wakati wa high school anamaliza form six wewe utakuwa 3rd year
diploma, wewe utakuwa na uwezo wakufanya kazi kutokana na field kupata
kipato wakati wa high school atakuwa hajui chochote anasubiri akasome
miaka minne chuo ndio awe engineer wakati wewe ukisha maliza diploma
utakuwa na uwezo wa kusoma degree kwa miaka mitatu katika vyuo hivyo vya
tech.
Electrical eng na civil engThanks,Pamoja sana,ungenisaidia kujua fani nzuri zaid kwa sasa
nenda tech wewe faida yake baada ya miaka mitatu utakuwa na diploma itakayo kuwezesha kujiajiri au kuajiriwa huku ukiwa pia na uwezo wa kusoma degree na utakuwa comptent kushinda wa high school, tofauti yako wewe na wa high school wakati wa high school anamaliza form six wewe utakuwa 3rd year diploma, wewe utakuwa na uwezo wakufanya kazi kutokana na field kupata kipato wakati wa high school atakuwa hajui chochote anasubiri akasome miaka minne chuo ndio awe engineer wakati wewe ukisha maliza diploma utakuwa na uwezo wa kusoma degree kwa miaka mitatu katika vyuo hivyo vya tech.
Electrical eng na civil eng
Tech n nzur sema gharama zake pia ni kubwa
Basi degree ujiandae kujilipia no mkopo