Msaada:Tech.College vs High school

Msaada:Tech.College vs High school

fungi

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2014
Posts
2,539
Reaction score
4,672
Wana JF naombeni msaada wa mawazo yenu,nipo kwenye dilema kama title inavyosema
 
Angalia malengo yako na uwezo wako darasani.

Kwa dunia ya sasa, nakushauri uende tech. College.

Kama unamaswali niulize ntakusaidia kadri ya uelewa wangu.
 
Angalia malengo yako na uwezo wako darasani.

Kwa dunia ya sasa, nakushauri uende tech. College.

Kama unamaswali niulize ntakusaidia kadri ya uelewa wangu.
Unaweza kunifafanulia zaidi mkuu
 
Kwa jinsi maisha yalivobadilika nowdays, nakushauri usome tech college, itakusaidia....
 
Unge explain vizuri hizo change mkubwa
 
Unaweza kunifafanulia zaidi mkuu

Niambie factor zinazo kufanya uwe dilema, halafu nikuelezee kila upande, faida na hasara, na baada ya hapo utajua kwa nini nnakushauri.
 
Niambie factor zinazo
kufanya uwe dilema, halafu nikuelezee kila upande, faida na hasara, na
baada ya hapo utajua kwa nini nnakushauri.
Dilema inakuja kwamba kila mtu anakwambia lake
 
nenda tech wewe faida yake baada ya miaka mitatu utakuwa na diploma itakayo kuwezesha kujiajiri au kuajiriwa huku ukiwa pia na uwezo wa kusoma degree na utakuwa comptent kushinda wa high school, tofauti yako wewe na wa high school wakati wa high school anamaliza form six wewe utakuwa 3rd year diploma, wewe utakuwa na uwezo wakufanya kazi kutokana na field kupata kipato wakati wa high school atakuwa hajui chochote anasubiri akasome miaka minne chuo ndio awe engineer wakati wewe ukisha maliza diploma utakuwa na uwezo wa kusoma degree kwa miaka mitatu katika vyuo hivyo vya tech.
 
nenda tech wewe faida
yake baada ya miaka mitatu utakuwa na diploma itakayo kuwezesha
kujiajiri au kuajiriwa huku ukiwa pia na uwezo wa kusoma degree na
utakuwa comptent kushinda wa high school, tofauti yako wewe na wa high
school wakati wa high school anamaliza form six wewe utakuwa 3rd year
diploma, wewe utakuwa na uwezo wakufanya kazi kutokana na field kupata
kipato wakati wa high school atakuwa hajui chochote anasubiri akasome
miaka minne chuo ndio awe engineer wakati wewe ukisha maliza diploma
utakuwa na uwezo wa kusoma degree kwa miaka mitatu katika vyuo hivyo vya
tech.

Thanks,Pamoja sana,ungenisaidia kujua fani nzuri zaid kwa sasa
 
nenda tech wewe faida yake baada ya miaka mitatu utakuwa na diploma itakayo kuwezesha kujiajiri au kuajiriwa huku ukiwa pia na uwezo wa kusoma degree na utakuwa comptent kushinda wa high school, tofauti yako wewe na wa high school wakati wa high school anamaliza form six wewe utakuwa 3rd year diploma, wewe utakuwa na uwezo wakufanya kazi kutokana na field kupata kipato wakati wa high school atakuwa hajui chochote anasubiri akasome miaka minne chuo ndio awe engineer wakati wewe ukisha maliza diploma utakuwa na uwezo wa kusoma degree kwa miaka mitatu katika vyuo hivyo vya tech.

Hili jambo wachache sana wanalielewa. Well said MAKEDA.
 
Mmenifungua akili sana ahsanteni
 
Back
Top Bottom