qn of sheba
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 3,230
- 1,380
Thanks,Pamoja sana,ungenisaidia kujua fani nzuri zaid kwa sasa
Kila mtu ana maoni yake lakini kwangu Advance ni elimu muhimu sana itakayokuza ufahamu na uchambuzi wako wa mambo.
Ningependa pia kujua engineering gani ni nzuri kusoma
Tech n nzur sema gharama zake pia ni kubwa
Wana JF naombeni msaada wa mawazo yenu,nipo kwenye dilema kama title inavyosema
Telecom imekaajedogo kapige mining
engineering...mimi hivi sasa nipo DIT mwaka watatu nasoma hiyo kitu na
niaanza kuona matunda yake taaratibu hata kabla sijamaliza
kusoma...nasikia hata MUST wameenzisha hii course, make a wise
choice
kwa nini
Nimekuelewa.
Ulipokuwa unasoma ulikuwa idle,
na ndomaana sahizi sahizi huelewi cha kufanya! Hukujiwekea ndoto!
.
Wanasemaga ni vizuri kutofanikiwa kutokana na ulichokuwa
unakipenda, kuliko kutofanikiwa kutokana kile kilichotokana na mawazo ya
wengine
.
Sidhani kama hujanielewa apo! Lakini pokea ushauri wa watu usi upuuzie
mana uliisha chelewa!
.
To be idle is a short road to death and to be
diligent is a way of life; foolish people are
idle, wise people are diligent.