Msaada:Tech.College vs High school

Msaada:Tech.College vs High school

Karama ni kubwa kama unaenda kuwa private ila sio kihivyo ni sawa tu kama umekosa boom chuo alafu ukajisomesha mwenyewe.

Ila kama utachagulia direct na post za Form V basi utalipa ada ndogo kama ya boarding tu.
 
Thanks,Pamoja sana,ungenisaidia kujua fani nzuri zaid kwa sasa

Kwakweli mi sio fani yangu hiyo so sijui market yake though naona kama civil na telecom inamaeket sana but i don know wataalam wenyewe watakueleza.
 
Kila mtu ana maoni yake lakini kwangu Advance ni elimu muhimu sana itakayokuza ufahamu na uchambuzi wako wa mambo.

Kweli kila mtu na mtazamo wake ndio maana hata nchi jirani kama kenya hawaoni umuhimu wa advance, msingi mzuri ni muhimu ndio maana wana hadi darasa la 8 na akisha maliza sekondari anakuwa na msingi mzuri wakumuwezesha kusoma chuo.

Ila ukweli haukwepeki vyuo viko vizuri kuliko alevel. Hata SUA wamafunzi wa kilimo kutoka vyuo vyao vya kilimo wanafaida ya kusoma vitu vingi na kwa vitendo kuliko kuliko wanaosoma notes tu a level.
 
Tech n nzur sema gharama zake pia ni kubwa

.
200,000 (laki mbili) kula na kulala hapo hapo!
.
Wasicho kielewa wengi ni kuwa anaeenda university kusoma degree ule mkopo anaopewa mkononi ataurudisha kwa makato yale ya chini chini!
,
lakini anaeenda Technical collage moja kwa moja kwa direct entry analipiwa mkopo na serikali indirectly! Yaani hapewi mkononi! Na mkopo wake yeye hato ulipa hata kwa makato hayo ya kidogo kidogo kama yule wa degree!
.
Ila yeye hupewa kama zawadi!
Na serikali na hivyo basi hulipa ile laki mbili ya malazi nadhani! Kama sio malazi basi chakula
 
Kwa maswali yako, ni wazi kuwa bado hujaamua kama unataka kuwa engineer/fundi mchundo ama la. Nakushauri nenda a level! Ukimaliza form six (kwa hiyo PCM) utakuwa na flexibility kubwa zaidi ya kusoma utakacho kuliko ukipitia tech college (hasa kama ukifaulu vizuri masomo yake yote). It is a good short cut!
 
Wana JF naombeni msaada wa mawazo yenu,nipo kwenye dilema kama title inavyosema

dogo kapige mining engineering...mimi hivi sasa nipo DIT mwaka watatu nasoma hiyo kitu na niaanza kuona matunda yake taaratibu hata kabla sijamaliza kusoma...nasikia hata MUST wameenzisha hii course, make a wise choice
 
dogo kapige mining
engineering...mimi hivi sasa nipo DIT mwaka watatu nasoma hiyo kitu na
niaanza kuona matunda yake taaratibu hata kabla sijamaliza
kusoma...nasikia hata MUST wameenzisha hii course, make a wise
choice
Telecom imekaaje
 
mkuu wengi wao wanaopitia diploma wanaishia diploma na kulidhika na mishaara.
pia wengi wao wanaoingia advance science inawatupa yaani wanafeli saana au wanaishia kuwa waalimu,kwahiyo advance mda mwingine ni kama inaumiza kichwa . ukisoma advance unakuwa na wide range of choice ya kusoma course nyingi za chuo kikuu.pia unawahi wapi ndugu?au unataka uanze kupata hela haraka usaidie home.kwanini usiendelee advance alafu upade degree yako ndio uanze mikiki ya maisha?maana sikuhizi mpaka ma engineer wanakosa kazi ndugu yangu maana wamekuwa wengi pia alafu kazi ni ndogo(the contractors magazine la mwaka 2012,ushahidi wangu mwenyewe)so competition imeanza kuwakata na kupunguza demand ya engineer so nibora ukanyoosha moja kwa moja upate degree yako na u enjoy matunda ya advance(general specialization,jkt,kupata preference ya mkopo/wote wa dip na bach wanapata engineers lakini wa 6 wanapewa preference wa kwanza).pia ukianza diploma wenzako wana kupita mwaka mmoja.maoni tu
 

.
Ulipokuwa unasoma ulikuwa idle,
na ndomaana sahizi sahizi huelewi cha kufanya! Hukujiwekea ndoto!
.
Wanasemaga ni vizuri kutofanikiwa kutokana na ulichokuwa unakipenda, kuliko kutofanikiwa kutokana kile kilichotokana na mawazo ya wengine
.
Sidhani kama hujanielewa apo! Lakini pokea ushauri wa watu usi upuuzie mana uliisha chelewa!
.
To be idle is a short road to death and to be
diligent is a way of life; foolish people are
idle, wise people are diligent.
 
.
Ulipokuwa unasoma ulikuwa idle,
na ndomaana sahizi sahizi huelewi cha kufanya! Hukujiwekea ndoto!
.
Wanasemaga ni vizuri kutofanikiwa kutokana na ulichokuwa
unakipenda, kuliko kutofanikiwa kutokana kile kilichotokana na mawazo ya
wengine

.
Sidhani kama hujanielewa apo! Lakini pokea ushauri wa watu usi upuuzie
mana uliisha chelewa!
.
To be idle is a short road to death and to be
diligent is a way of life; foolish people are
idle, wise people are diligent.
Nimekuelewa
 
mamaa,mkuu hyo
civil c kifo icho,watu weng waxema ni ngumu xana na huwez kucompare na
watu wa tele na comptr science kimaendeleo(kwa ninavockia,am nt
sure)

Kuwa makin na lugha yako hii sio fb
 
Madogo hizi lugha zenu mpaka tunashindwa kuwapa hata ushauri badilikeni!
 
Karibu Dar tech kijana, kwanza kabisa naomba nikuelezee faida tunazopata sie tulio tech.

1. Hatuhitaji kuhangaika na gharama za tuition, so una uwezo wa kufaulu ht kama hela inasuasua

2. Una uwezo wa kufanya kazi mbalimbali hata kama umesoma semister moja, kama welding, elect installation na computer

3. Tunasoma kwa vitendo sio kukaririshana theories

hayo na uliyoambiwa zingatia
 
Back
Top Bottom