Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu Ni Wiki 2 Sasa Koo Langu Liko Ambushed Kwa Fangasi
Msaada Kwa Wale Wahanga Na Wazoefu Wa Yale Mambo!...... Mnatumiaga Mbinu Gani Kurecover?
Hahahhaaha mkuu hauko serious uko kwa ajili ya jokes tu ungeumwa kweli usingekua hapa ungeshatangulia hospital kitambo sana
hapana mkuu!
Hapa kuna wazoefu ,watanipa ujuzi nini nifanye
hospital madokta wataanza kunishangaa kutokana na maelezo ya chanzo cha tatizo
so kwa nn niangaike wakati wenzangu wako hapa!?
ndo hivyo mkuu! Msaada wako tafadhari!
Dawa za fungusi ni Glusoflavin au Fluconazole.
Ukiona shida kunywa dawa inashauriwa kuacha sehemu iliyo athiriwa wazi ipate hewa ya kutosha na ikauke vizuri.