Msaada tiba Kwa fangasi za kooni!

Msaada tiba Kwa fangasi za kooni!

Majigo

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
5,519
Reaction score
1,828
Wakuu Ni Wiki 2 Sasa Koo Langu Liko Ambushed Kwa Fangasi
Msaada Kwa Wale Wahanga Na Wazoefu Wa Yale Mambo!...... Mnatumiaga Mbinu Gani Kurecover?
 
Wakuu Ni Wiki 2 Sasa Koo Langu Liko Ambushed Kwa Fangasi
Msaada Kwa Wale Wahanga Na Wazoefu Wa Yale Mambo!...... Mnatumiaga Mbinu Gani Kurecover?

Mmmh umezipataje mkuu??ni kwa ajili ya kwenda uvinza??
 
Mmmh umezipataje mkuu??ni kwa ajili ya kwenda uvinza??

mkuu swali gani hilo?!!
Naomba unisaidie tafadhari koo limeoverweight kutokana na hawa viumbe
hali yngu mbaya mkuu!!
 
Nenda hospitali if yo serious please.

hapana mkuu!
Hapa kuna wazoefu ,watanipa ujuzi nini nifanye
hospital madokta wataanza kunishangaa kutokana na maelezo ya chanzo cha tatizo
so kwa nn niangaike wakati wenzangu wako hapa!?
 
Hahahhaaha mkuu hauko serious uko kwa ajili ya jokes tu ungeumwa kweli usingekua hapa ungeshatangulia hospital kitambo sana
 
Hahahhaaha mkuu hauko serious uko kwa ajili ya jokes tu ungeumwa kweli usingekua hapa ungeshatangulia hospital kitambo sana

hapana mkuu!
Kwani siku zote ninapotoa maswahibu yangu nyeti hapa huwa nakwenda hospita?
Namaanisha, wala si utani!
 
hapana mkuu!
Hapa kuna wazoefu ,watanipa ujuzi nini nifanye
hospital madokta wataanza kunishangaa kutokana na maelezo ya chanzo cha tatizo
so kwa nn niangaike wakati wenzangu wako hapa!?

Toa maelezo yenye kujitosheleza basi!
Umepataje hayo mafangas?
Ni kwasababu ya kuzama chumvini au?
 
Dawa za fungusi ni Glusoflavin au Fluconazole.

Ukiona shida kunywa dawa inashauriwa kuacha sehemu iliyo athiriwa wazi ipate hewa ya kutosha na ikauke vizuri.
 
Tatizo ni kujifanya unajua mapenzi mwisho wa siku unapata matokeo kama hayo
 
ndo hivyo mkuu! Msaada wako tafadhari!

Hahahaaaa! Haki ya Mungu walai! Mambo mengine hata siyakucheka yani unajikuta tu unacheka!
...
Pole sana Mkuu! Subiria wataalamu wakupe maelezo mazuri kwa tatizo lako!
 
Dawa za fungusi ni Glusoflavin au Fluconazole.

Ukiona shida kunywa dawa inashauriwa kuacha sehemu iliyo athiriwa wazi ipate hewa ya kutosha na ikauke vizuri.

Ahsante sana mkuu!..samahani..inamaana hizo ni kwa ajili ya fangasi wa kooni?
Alafu nitaachaje koo langu wazi mkuu?
 
Back
Top Bottom